Wakuu
Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi
Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa sana sana utalipa kodi na kula
Mwanzon mwa mwez wa nne nilipata dili ya mwezi mmoja tuu ambayo kiukwel malipo yake yalikua mazur nikaomba rikizo kazin ya mwez huo mmoja na nikaruhusiwa
Nimeenda kupiga dili lang mwez umeisha nimerejea kazin naambiwa niandike barua ya kuomba kurudi nikaandika hyo barua ikapelekwa kwa mkurugenz hakutoa majibu
Nikamfata kuongea nae akanambia nivumilie mpk mwsho wa mwez
nikarud home kusubir mwez uishe
Mwez umeisha sasa amekua ni wa kunipiga chenga kila nikienda anaingilia huku anatokea huku sasa nikamuomba kwamba wakat naendelea kusubir kama unavosema bc naomba barua niweze kufatilia malipo yang ya NSSF
Baada ya kumueleza hvo akanambia nisichukue barua ila nimvumilieBro kaitishe NSSF na uache kazi tafuta ingine