Naombeni msaada wa kujua kuhusu kozi za afya

Naombeni msaada wa kujua kuhusu kozi za afya

senzoside

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
182
Reaction score
31
Habari za wakati huu wanajanvi,

Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY D, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY D, MATH F

Je anaweza kusoma kozi gani ya afya?

Ahsanteni
 
sawa mkuu na hii wanayosema upgrading course ikoje
Hawezi soma Programme yeyote hapo.. hiyo upgrading course Ni wale waliosoma Programmes zote za Afya wakawa na Certificate ya miaka miwili then wanaenda piga Diploma huwa ni miaka/mwaka miwili/mmoja

Typed Using KIDOLE
 
Back
Top Bottom