naombeni msaada wa kitalaam

combra

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
130
Reaction score
31
nimeifanyia cm yangu ya Microsoft reset factory imefuta kila kitu adi majina nisaidie nitafanya vitu vyangu na majina yaweze kurudi.naomben msaada wenu wadau
 
nimeifanyia cm yangu ya Microsoft reset factory imefuta kila kitu adi majina nisaidie nitafanya vitu vyangu na majina yaweze kurudi.naomben msaada wenu wadau

Weka akaunti yako upya i guess ni ya hotmail kwenye simu majina yatarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…