Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,359 May 14, 2022 #1 Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu. Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki? Sasa mama wamtoto kamwambia baba mtoto nataka nikambatize mtoto Kikatoliki nanimeshampa jina. Shida ni hii hapa atambatizaje mtoto ilihali baba sio mkatoliki? Msaada jamani.
Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu. Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki? Sasa mama wamtoto kamwambia baba mtoto nataka nikambatize mtoto Kikatoliki nanimeshampa jina. Shida ni hii hapa atambatizaje mtoto ilihali baba sio mkatoliki? Msaada jamani.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,319 Reaction score 83,198 May 14, 2022 #2 Nyie kila siku mnaomba tu Ushauri
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,056 Reaction score 22,609 May 14, 2022 #3 Dini na Ujinga ni damu damu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,798 Reaction score 110,011 May 14, 2022 #4 Waambie waoane kwanza, halafu watambatiza huyo mtoto kanisa watalooana...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,514 Reaction score 88,999 May 14, 2022 #5 Swala la makubaliano ya wazazi wasimchoshe huyo kiumbe,wakimvuruga sahivi nae atakuja kuwavuruga akikua!
Swala la makubaliano ya wazazi wasimchoshe huyo kiumbe,wakimvuruga sahivi nae atakuja kuwavuruga akikua!
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,359 May 14, 2022 Thread starter #6 Haya_Land said: Nyie kila siku mnaomba tu Ushauri Click to expand... Sasa siushauri??
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 May 14, 2022 #7 SI amkataze Sasa Kama Bado hajambatiza..
Nkundwe Sr JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 6,301 Reaction score 9,809 May 14, 2022 #8 Unique Flower said: Sasa siushauri?? Click to expand... Mwambie ampige makofi huyo Dada
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,939 Reaction score 61,733 May 14, 2022 #9 Kesi ndogo hiyo; kama kijana hayuko tayari kuoa huyo binti, mtoto afuate dini ya mama na abatizwe huko.
Kesi ndogo hiyo; kama kijana hayuko tayari kuoa huyo binti, mtoto afuate dini ya mama na abatizwe huko.
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,659 Reaction score 8,285 May 14, 2022 #10 Mtoto afuate dini ya mwenye shamba! Aliyepanda shambani kwa watu bila ruhusa hana haki ya kuvuna!
K Kigugumiza JF-Expert Member Joined Mar 7, 2022 Posts 508 Reaction score 687 May 14, 2022 #11 Kiuhalisia kama mwanaume ni Muisilamu,tunaita huyo mtoto ni wa haramu na ni wa mama peke yake baba hana sauti,na wa hana urithi kwa baba yake
Kiuhalisia kama mwanaume ni Muisilamu,tunaita huyo mtoto ni wa haramu na ni wa mama peke yake baba hana sauti,na wa hana urithi kwa baba yake
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 12,312 Reaction score 18,177 May 14, 2022 #12 Tafuta wa dhehebu lako kaka. Wanawake wako wengi sana. Wanaume wako wengi sana. Acha kung'ang'ania kana kwwmba Mungu alikusemeza kuwa huyo ndio wako hutopata mwingine.
Tafuta wa dhehebu lako kaka. Wanawake wako wengi sana. Wanaume wako wengi sana. Acha kung'ang'ania kana kwwmba Mungu alikusemeza kuwa huyo ndio wako hutopata mwingine.
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 12,312 Reaction score 18,177 May 14, 2022 #13 Tafuta wa dhehebu lako kaka. Wanawake wako wengi sana. Wanaume wako wengi sana. Acha kung'ang'ania kana kwwmba Mungu alikusemeza kuwa huyo ndio wako hutopata mwingine.
Tafuta wa dhehebu lako kaka. Wanawake wako wengi sana. Wanaume wako wengi sana. Acha kung'ang'ania kana kwwmba Mungu alikusemeza kuwa huyo ndio wako hutopata mwingine.
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,448 May 14, 2022 #14 Leo huyu dada hatemi cheche😁😁
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 18,302 Reaction score 26,151 May 14, 2022 #15 whiteskunk said: Leo huyu dada hatemi cheche😁😁 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣