Naombeni msaada wa jinsi ya kufanya calculation

Naombeni msaada wa jinsi ya kufanya calculation

nataka kujua vitu ninavyotakiwa kulipa nikiagiza gari na jinsi ya kufanya calculation
Kama gari ni less than 10 years
1)25% ya bei ya gari -Charge ya kutoa bandarini
2)18% ya bei ya gari- VAT
3)unknown % rushwa + longo longo zingine
Kama imezidi 10 years wanaongeza charge ya uchakavu.

Nataka kuleta Gari kama mbili ila inabidi niweke mazingira kwanza pale bandarini, Urasimu umezidi bongo.
 
Mkuu! Kwa upande wa ushuru wa forodha we ingia www.tra.go.tz kuna sehemu ina calculator and tools ukiingia hapo make sure huna chasis no ya dinga unayotaka kununua plus model ya hiyo gari thn utajua ni kodi kiasi gani mkuu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama gari ni less than 10 years
1)25% ya bei ya gari -Charge ya kutoa bandarini
2)18% ya bei ya gari- VAT
3)unknown % rushwa + longo longo zingine
Kama imezidi 10 years wanaongeza charge ya uchakavu.

Nataka kuleta Gari kama mbili ila inabidi niweke mazingira kwanza pale bandarini, Urasimu umezidi bongo.

uchakavu ni asilimia ngapi???
 
Back
Top Bottom