bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
Wapendwa habari ya Mchana, samahani kwa kuchanganya maada,
Naomba anayefahamu yanapopatokana mavi ya Tembo anitaarifu, nimeambiwa ni dawa ya degedege, unfortunately mtoto wangu anaonekana kuwa na homa ya degedege.
Msaada tafadhali
Naomba anayefahamu yanapopatokana mavi ya Tembo anitaarifu, nimeambiwa ni dawa ya degedege, unfortunately mtoto wangu anaonekana kuwa na homa ya degedege.
Msaada tafadhali
nenda office za Tanzania national park naamini wao ndio watakupatia msaada zaidi