Naombeni msaada wa haraka wa tatizo la moyo

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu.

Mimi ninatatizo limenikuta gafla moyo unauma sana na kuna kipindi unakua kama unapata joto kwa ndani, kuna wakati maomivu nayasikia mpaka kwenye shingo na kwenye sikio upande wa kushoto na mwili unakua kama unasisimka (kufa ganzi) na wakati mwingine na ishiwa na nguvu mwilini na magoti yanakua yamechoka sana.

Mfikia hatua hatanikisema nifikirie chochote mfano mtu akiniuliza kitu ile nataka kumjibu nasikia maomivu ndani ya moyo, kuna muda mpaka napiga piga kidogo ili upoe cz unakua kama unatetemeka kwa ndani na maomivu yanapita mithili ya kitu kama kina kata au unakaza .

Naombeni kwa anaejua anijuze tatizo ni nini?
 
Pole,hilo tatizo lina pande mbili inaweza kuwa panic attack au heart attack ambapo inaelekea kusababisha strock hivyo kujilidhisha na hali yako tembelea taasisi ya afya iliyo karb nawe kwa uchunguzi zaidi
 
Habari za wakati huu.

Mimi ninatatizo limenikuta gafla moyo unauma sana na kuna kipindi unakua kama unapata joto kwa ndani, kuna wakati maomivu nayasikia mpaka kwenye shingo na kwenye sikio upande wa kushoto na mwili unakua kama unasisimka (kufa ganzi) na wakati mwingine na ishiwa na nguvu mwilini na magoti yanakua yamechoka sana.

Mfikia hatua hatanikisema nifikirie chochote mfano mtu akiniuliza kitu ile nataka kumjibu nasikia maomivu ndani ya moyo, kuna muda mpaka napiga piga kidogo ili upoe cz unakua kama unatetemeka kwa ndani na maomivu yanapita mithili ya kitu kama kina kata au unakaza .

Naombeni kwa anaejua anijuze tatizo ni nini?
Pole sana Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom