Naombeni msaada wa game nzuri za mpira

Hua ni mpenzi wa fifa ila kwa simu huwa nacheza fifa 14 sababu nauwezo wakulicheza offline. Play store halipo li google apk yake.
 
Sory uzi wa mda kidogo ila naomba msaada hivi fifa 14 ni offline mkuu au njia gani unatumia na vipi ladha yake
 
Back
Top Bottom