mkuu jaribu njia hizi
1.Chomoa machine kutoka kwenye source ya power then iwashe machine huku umeshikilia power button kama 3times kwa mda (dk 3)hv ili kuwith-draw excess power,kwasababu hilo tatizo maranyingine linasababishwa na excess power.
2.Ifungue machine halafu toa RAM piga blower kuondoa vumbi na uchafu ndani ya PC hasa kwenye slots za RAM then rudishia RAM kama kawaida
3.Ikigoma hiyo ya kwanza either RAM imekufa au slot za RAM hazisomi,check kama machine yako kama ina RAM chip mbili chomoa tumia chip moja test kwa slot zote,ikigoma chukua chip nyengine test nayo,hata kama ina moja jaribu kuhamisha slot tofauti tofauti,kuna PC mbili zilikua na tatizo hilo baada ya kufanya hivo ikakubali,
hicho ndicho ninachokifahamu, zikigoma hizo labda tuwasubir wana JF wafunguke.
dats all mkuu.