simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Kunywa dawa ya minyoo
Ni kweli, mimi hunisaidia sana, hata kwa kunusa kwapa bila kusugua na mikono, kichefuchefu huwezi kujisikia tena kwa wakati huo.Ukiwa umekaa sugua kwapa la kulia na mkono wa kushoto.kisha wavkulia kwapa la kushoto mkono wa kulia.kila umalizapo mkono unuse
Ni hali ya kawaida tu ndugu, unajua vyakula vingi tunavyokula kwa sasa vinasukari nyingi kitu ambacho husababisha kuwepo kwa nyongo nyingi mwilini kuliko maitaji, chemsha majani ya mwarobaini ujitapishe kutoa nyongo itaisha hiyo hali mara moja kiongozi wanguNaijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.
Okey,nitafanya hivyo teacher.Ni hali ya kawaida tu ndugu, unajua vyakula vingi tunavyokula kwa sasa vinasukari nyingi kitu ambacho husababisha kuwepo kwa nyongo nyingi mwilini kuliko maitaji, chemsha majani ya mwarobaini ujitapishe kutoa nyongo itaisha hiyo hali mara moja kiongozi wangu
Mimi binafsi nina ulcers na hii hali hutokea mara kwa mara nenda hospital kapime hao H.Pylori upate tiba.And get well soonNaijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.
Mkuu huwa hutagaki ujinga kwa vishida vidogo vidogo kama kichefu chefuuacha utani mkuu yeye ni wakiume kwanini usimsaidie au kama hujui pita tu?
Hii hata Mimi naijua huwa naitumia inasaidia sana.inatakiwa katikati ya kiganja baada ya kusugua kwapani.sio kwamba kusugua kwapani mpaka uvue nguo,Bali sugua hivyo hivyo hata bila kuvua nguoUkiwa umekaa sugua kwapa la kulia na mkono wa kushoto.kisha wavkulia kwapa la kushoto mkono wa kulia.kila umalizapo mkono unuse