Naombeni msaada wa dawa ya Kichefuchefu

Dvanjoh

Member
May 9, 2016
56
10
Naijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.
 
Mebna hilo tatizo ilanhuwa nalamba ndim kwisha habari jaribu mmuu
 
Mkuu pia fikra usiziweke kwenye hiyo hali fanya kama unapotezea tu uone
 
Ndimu au limau
Naijisikia hali ya kichefuchefu pindi nikishamaliza kula chakula,nimeshatumia dawa mbali mbali za hospitali ikiwemo za minyoo lakini bado,.Mimi ni wakiume.Naombeni maoni.Hali hii inanitesa siwezi Fanya kazi.
 
Ukiwa umekaa sugua kwapa la kulia na mkono wa kushoto.kisha wavkulia kwapa la kushoto mkono wa kulia.kila umalizapo mkono unuse
 
Pole sana mkuu mi nashauri ukafanye kipimo cha H. Pylori, hizi dalili zinafanana na za ulcers, ukishapata majibu njoo tusemezane
 
Mkuu pia fikra usiziweke kwenye hiyo hali fanya kama unapotezea tu uone
Hapo umeongea mkuu..nisipofikiria hiyo hali sipati kabisa lakini ndio siwezi sasa,yani inakuja automatically unakuta naanza kuifikiria.
 
Una dalili za ulcers...nenda hospital kwa uhakika zaidi....
Pole pia nakuombea upone haraka....
 
Pole sana mkuu mi nashauri ukafanye kipimo cha H. Pylori, hizi dalili zinafanana na za ulcers, ukishapata majibu njoo tusemezane
Nimefnya vipimo vyote pale Kairuki Hosp,hawajaona chochote mkuu.
 
Anha basi wakat unaendelea kutafuta cause ya hio kitu,uwe unatumia tangawizi....

It is very helpful,inaondoa kichefuchef....

Unaweza kutafuna kama ilivyo au ukaitumia kama kiungo e.g kune chai...
 
Back
Top Bottom