Naombeni msaada tafadhalini kwani hali ni mbaya

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,752
Mimi ni msihana wa miaka kadhaa, ninampenzi wangu, lkn huwa ukifika muda wa kupeana raha za dunia yeye huwa anataka hadi mara 8 wakati me uwezo wangu ni 2,3 sasa ni fanyeje, JE KUNAWATU WANAWEZA KWENDA MARA 8???
 
mm maximum mara 12! sasa hio nane, sioni km ni ishu! kuna jirani yangu anaendaga mara 18!
kula na ushibe, sio kula ili mradi kula tu! kula na ushibe hata ugali maharage tu hakuna noma!

kwa kifupi sioni ajabu!
km vp niazime huyo demu wako kwa muda!
 
Hivi wanaume wengine sijui huwa wakoje kwa kweli....yaani kudinyana wanakupa kipaumbele.
 
kha!!! hiyo balaaa mara 8 imekuwa kukomoana!!!

hehehehehehe hata na wewe mkuu mzabzab unashangaa mara 8? sasa unavyoimbaga kugegeda nikajua wewe ni wa mara kama 24 hv kumbe hakuna kitu! pole sana!

kwenda mara 2 ama 3 ni hatari kwa afya yako!
 
Last edited by a moderator:
sio hivyo the Boss naona km si kawaida km kukomoa vile
 
Mimi ni msihana wa miaka kadhaa, ninampenzi wangu, lkn huwa ukifika muda wa kupeana raha za dunia yeye huwa anataka hadi mara 8 wakati me uwezo wangu ni 2,3 sasa ni fanyeje, JE KUNAWATU WANAWEZA KWENDA MARA 8???

ndio,wa kwanza ni huyo mpenzi wako......
hiyo miaka kadhaa mlikuwaga mnaenda mara ngapi!!!!!!
 
Ndio watu wapo wanaopiga 8 na huyo mpenzi wako ni mmoja wao,

Mie napiga moja tu lakini hilo moja ni bora uendelee na hizo nane, maana unaweza kutafuna mito na godoro lote na ukapandwa na maruhani kabisaaaa!

Hilo moja natumia masaa manne ni non stop!
 
sasa unauliza kuna watu kwani huyo mwenzio jini?

bora umemjibu ila mmeniacha hoi na koment zenu, nmecheka mpaka basi
hehehehehehe hata na wewe mkuu mzabzab unashangaa mara 8? sasa unavyoimbaga kugegeda nikajua wewe ni wa mara kama 24 hv kumbe hakuna kitu! pole sana!

kwenda mara 2 ama 3 ni hatari kwa afya yako!

Ndio watu wapo wanaopiga 8 na huyo mpenzi wako ni mmoja wao,

Mie napiga moja tu lakini hilo moja ni bora uendelee na hizo nane, maana unaweza kutafuna mito na godoro lote na ukapandwa na maruhani kabisaaaa!

Hilo moja natumia masaa manne ni non stop!
 
Last edited by a moderator:
Aisee huyo ni binadamu wa kawaida kweli? Kama vipi jitoe uenda kwa

Yericko.
 
...................................................

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hizo 8 ndogo me hua napiga 17 par day. cku nikiwa nimechoka 12. Nikimaliza hapo ukikaa ndani ya dishi maji yanachemka
 
shukuru mungu kwa kukupa mtu wa hivyo....mana wengine wanataman wa hivyo na hawajawah kukutana nao...
 
huyo kama kuku wenzake 2 za haja wakimaliza huna hamu mwezi mzima.
 
Mimi ni msihana wa miaka kadhaa, ninampenzi wangu, lkn huwa ukifika muda wa kupeana raha za dunia yeye huwa anataka hadi mara 8 wakati me uwezo wangu ni 2,3 sasa ni fanyeje, JE KUNAWATU WANAWEZA KWENDA MARA 8???

Mpe tiGo
 
Back
Top Bottom