Hata sijaelewa ngoja nipishe waje watakaoelewa wakusaidie
Habarini za humu ndani, nimekuja humu ndani nahitaji msaada wenu.
Nimuajiriwa na nimekaa kwenye ajira muda mrefu sana........
na binti + single na kwa sasa
nimechukua maamuzi ya
kwenda nje, USA, Canada,
Australia, Sweden, Norway au UK
sasa kwa upande wangu nimefikiria nikachukue masters................
.........
kuna uwezekano nikaweza kwenda kama hata mfanyakazi wa ndani? .......
.....................kama nitapata mtu anaweza kunipa mbinu ya kunisaidia kwenda bila kuwa student nitashukuru
Habarini za humu ndani, nimekuja humu ndani nahitaji msaada wenu. Nimuajiriwa na nimekaa kwenye ajira muda mrefu sana na binti + single na kwa sasa nimechukua maamuzi ya kwenda nje, USA, Canada, Australia, Sweden, Norway au UK. Najua wapo wanaosoma hapa wana experience na hizo nchi tafadhali kama unahabari za kusikia tu naomba usinishauri.
Najua natakiwa kwenda kwa kusoma, kuvisit, matibabu au partner sasa kwa upande wangu nimefikiria nikachukue masters ila kila nikisoma masharti ya student naona ni magumu mno kuishi hizo nchi kama student, je kuna uwezekano nikaweza kwenda kama hata mfanyakazi wa ndani? Jamani haya ni maamuzi binafsi kabisa na najua tabu ya huko kwa wenzetu ila kiukweli kwa sasa nahitaji kwenda kama nitapata mtu anaweza kunipa mbinu ya kunisaidia kwenda bila kuwa student nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani za dhati kwa wale wote walioko tayari kunisaidia. Tafadhali kama unaona kwako limekaa kushoto sana naomba usinikatishe tamaa.
Shule ya kata utawajua na divisition 5

Kama una lengo kweli la kusoma masters nenda as a student.
Masters ni muda mfupi sana na ukimaliza nchi nyingi including Uk wanakupa visa ya kufanyakazi up tp two yrs.
Mpaka hapo unaweza kutimiza malengo yako yote mawili lakini sikushauri uache kazi[natumaini una kazi nzuri] hapa bongo uende ukawe housegirl...i've been there done that i know what im talking about.
Habarini za humu ndani, nimekuja humu ndani nahitaji msaada wenu. Nimuajiriwa na nimekaa kwenye ajira muda mrefu sana na binti + single na kwa sasa nimechukua maamuzi ya kwenda nje, USA, Canada, Australia, Sweden, Norway au UK. Najua wapo wanaosoma hapa wana experience na hizo nchi tafadhali kama unahabari za kusikia tu naomba usinishauri.
Najua natakiwa kwenda kwa kusoma, kuvisit, matibabu au partner sasa kwa upande wangu nimefikiria nikachukue masters ila kila nikisoma masharti ya student naona ni magumu mno kuishi hizo nchi kama student, je kuna uwezekano nikaweza kwenda kama hata mfanyakazi wa ndani? Jamani haya ni maamuzi binafsi kabisa na najua tabu ya huko kwa wenzetu ila kiukweli kwa sasa nahitaji kwenda kama nitapata mtu anaweza kunipa mbinu ya kunisaidia kwenda bila kuwa student nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani za dhati kwa wale wote walioko tayari kunisaidia. Tafadhali kama unaona kwako limekaa kushoto sana naomba usinikatishe tamaa.
Inaonekana lengo lako ni kwenda ulaya kwa gia yoyote ile. Unataka kwenda ila hujui nchi ya kwenda na namna ya kwenda! Kifupi hizo ni sifa za watu wasio na malengo!