naombeni msaada tafadhali (hp laser jet printer 2015)

naombeni msaada tafadhali (hp laser jet printer 2015)

Jotojiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
334
Reaction score
130
Ndugu wana JF salamu.
nimepata tatizo la kuinstall software ya printer aina ya hp laser jet P2015 kwenye window 7, na tatizo lenyewe ni kwamba inagoma kutokana na kuwa hii software imetengenezwa comptible kwa windows xp 2000.

nimejaribu kufatilia ktk mtandao wao lakini solution haziko clear na hazijanisaidia, naomba kwa msaada wowote niweze kuitumia printer hii katika windows 7.

natanguliza shukrani zangu kwenu, asanteni.
 
Angalia models namba vizuri ingia hapa http://h20000.www2.hp.com tafuta software yake uidownload, kisha install wakati unainstall zima printer then itakupa maelekezo muda ukifika uiconnect kwenye pc halafu iwashe. Utaleta feedback.
 
hp 1.PNG hp.PNG bado napa tatizo lile lile sijui nifanye nini, naombeni maelekezo wakuu.
 
Jotojiwe jaribu issue ya compatibility ktk setup file yako, nadhani unanipata.
 
Last edited by a moderator:
jaribu hii

Isaac Chikoma, nilipo anza tu nili install hiyo driver kisha nikaenda chini kabisa nika install Software - Universal Print Driver, bado haikudetect printer japo nilipata msg your device ready to use, nikaona ngoja niinstal software yake kupitia cd yake original ikagomea palepale kama ulivyoona ile attachment. bado na hilo tatizo lakini pia kwa dhati nawashukuru sana naimani hapa hapa nitapata suluhu, wanaJF ni zaidi uelewa wangu.
 
mara ya mwisho kuitumia ilikuwa lini?,kama itakuwa inasumbua sana the best way ni ku reinstall windows upya,fanya tena installation kwa kutumia hiyo cd,ikizngua then,utajua kwamba pengine tatizo si software labda harware
 
Back
Top Bottom