Kwa ujuzi mdogo nilio nao... cha kwanza ni lazima ujue mahitaji/load na power consuption yake, TV zinakua zimeandikwa kwa nyuma sehem waya unapoingia utakua wameandika power rate yake!!
Kwa battery ya 33AH inaweza kuwa hivi...
Power = Amps * Volts
Na assume battery yako ni ya 12Volts
Power = 33Ah * 12V
Power = 396 Watts- Hour (396Wh)!
Kwa maneno mengine battery yako ina uwezo wa kusapoti kifaa chenye power ya 396W or less! na ina uwezo wa kuzalisha units 0.39 kwa lisaa limoja!!
Kujibu swali lako....itawezekana kama tu TV yako ina watts 396 au pungufu!
Cc
cyber ghost dronedrake