Naombeni msaada kwenye hili

Lol,
You missed all the fun.
 
Kwenye saikolojia umri ni muhimu sana. Hatuwezi kukushauri kwa dozi ya mtoto wa miaka 16 kumbe wewe una miaka 45
Tatizo la nyinyi mnaouliza umri mkishatajiwa umri Kama umri wangu ni mdogo kuliko wako mnatumia hiyo kigezo kunyanyasa Mara utasikia nenda shule dogo maneno fulani yakuuzi Uzi.By the way me Nina miaka 23.
 
Tatizo la nyinyi mnaouliza umri mkishatajiwa umri Kama umri wangu ni mdogo kuliko wako mnatumia hiyo kigezo kunyanyasa Mara utasikia nenda shule dogo maneno fulani yakuuzi Uzi.By the way me Nina miaka 23.
Umri wako unatosha kabisa kupata dozi kubwa ya ushauri. Kwanza usimuoneshe huyo anayekupenda kuwa unampenda Rafiki yake kwa kuwa ata-block chance ya kuonana nae. Cha kufanya jenga mazoea na wote wawili ili siku ya siku upate namba yake. Hata kama ukipata namba inabidi uwe mwangalifu sana maana unaweza kuwakosa wote

Kuna msemo unasema "mpende akupendae" akili kumkichwa
 
Yule uliyemuhonga kilo mbili za unga WA ugali vipi? Ameenda kupika ugali
Wanaume tumeumbwa na tamaa ni ngumu Sana kuwa na mwanamke mmoja angalau uwe na watatu au wawili ili ukishindwana na mmoja unapata kwingine kwa kujishikiza kuliko kuwa na mmoja alafu ukishindwana naye uanze upya kutafuta mwingine hiyo haimake sense.
 
Namba yake io Happ 114 mpigie! Lakn enzi zetu simu hazikuwepo ungempataje huyo shombeshombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…