Riz king JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 274 Reaction score 549 Oct 17, 2021 #1 Nauliza kwa wale wanaoendelea mfano mwanafunzi mwaka jana mwanafunzi wa MD kapata tuition fee ya m3.1 je mwaka wa pili mpangilio wake huwa unakuwaje? Wanaweza kumpunguzia kabisa au ndo hatapata tena?
Nauliza kwa wale wanaoendelea mfano mwanafunzi mwaka jana mwanafunzi wa MD kapata tuition fee ya m3.1 je mwaka wa pili mpangilio wake huwa unakuwaje? Wanaweza kumpunguzia kabisa au ndo hatapata tena?