Naombeni msaada kwa yeyote anayejua Sifa za kujiunga na ADVANCED DIPLOMA na namna ya kuaply

Serikali kupitia wizara husika ilitangaza kutoa loan kwa ngazi ya diploma,,ila siyo kwa kozi zote bali kwa kozi zinazoendana na mahitaji ya serikali.
 
hαwα jαmαα wαmєѕhíndwα tσα lσαn kwα wαtu wα dєgrєє ѕαѕα wαtαwєzα tσα kwα wα díplσmα...αu wαnαtαkα futα ílє gσvєrnmєnt ѕpσnѕσrѕhíp kwα wαlíσkuwα wαnαnufαíkα nαчσ kwα díplσmα вαdαlα чαkє ndσ wαwє wαnαwαpα míkσpσ
 
Yawezakuwa,,maana hata mimi napiga diploma nina government sponsorship,,cha kushangaza serikal imeshindwa kutuma pesa kwa ajil ya chakula, mpaka sasa tumestisha masomo na tupo nyumban mpaka pale serkal itakapopeleka pesa,
 
unαѕσmα chuσ gαn
 
Advance diplome ishafutwa bongo kitambo....kama kuna chuo kinatoa ni chakitapeliii
 
Lengo ni Kusoma ordinary diploma. Vyuo mfano Tukuyu, Butimba, songea, mpuguso ,Tandala. N.k

Nilikuwa na maana hiyo
 
Back
Top Bottom