Naombeni msaada kwa hili

Bahame486813

New Member
Sep 16, 2020
1
0
Naombeni mnifahahamishe kwa yeyote anaefahamu kwamba katika ajira za ualimu kwa wale wote ambao wamesoma single course kama bachelor of science or arts in (physics,chemistry,biology, geography) je wanaweza kutuma maombi yao pia? na kama wanatuma je consideration ipo?
 
Kwa ushauri wangu we tuma tu kama Engineer wameona anaweza kufundisha je wewe utashindwa vipi.​
 
We tuma tu, huwezi jua nn kinaendelea. Maana yawezekana watu wamekosea sana kwenye application zao. Mm ni mhasibu( bachelor of business administration in Accounting lakini nimetuma) nimeomba Book keeping and accountancy. So kila kitu ni kujaribu.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ushauri wangu we tuma tu kama Engineer wameona anaweza kufundisha je wewe utashindwa vipi.​
Mkuu mm nimesoma electrical engineering nimeomba electrical engineering science na electrical installation VP iko poa au naweza kuomba kufundisha physics na mathematics kwakuwa naweza kufundisha?? Au nikomae na hayo masomo ya field yangu?? Ushaur wako muhimu
 
Kama unataka uongeze chance za kuchaguliwa omba lakini kiutaratibu inabidi ujaze tu course za engineering ili usiwazibie ridhiki wengine.​
 
Sasa kwenye teaching subject ukijaza mawili bas mkuu hakuna nafas yakuweka masomo mengine,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom