Miaka yote hiyo mzee baba hukufanikiwa kujenga hata kibanda nyumbani?vipi ndugu zako ulikuwa unawatoa kidogo au ndio uliwasahau?kama uliwapotezea jiandae nawe kupotezewa pia,kuna jamaa yangu nae alichomoka kipindi hicho na hadi leo hajatia mguu nyumbani...sema yeye matukio ya nyumbani anashiriki kuchangia kuliko walio huku na keshajiwekea mjengo wakeHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Duh pole mkuu, ina maana kila mwaka ulikuwa una sevu dola 69.23 tu. Kama tayari una nyumba bongo na miradi mingine ambayo tayari inakuingizia hela hapo unaweza kurudi, vinginevyo komaa ughaibuni.
Mkuu upo nchi gani? Yaani $1800 bado hujakata ticket halafu unataka uje bongo uishi comfortable bila hata kupanda daladala unywe na maziwa daily! Usijari njoo utaishi vizuri sana sema hizo dola $1800 zibadilishe ziwe kama za Zimbabwe (Zitakuwa milions) Kwa hiyo utanunua nyumba, gari etc..Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
NYUMBANI KWAKO NI MAHALI POPOTE PALE UNAPO LALA NA KUAMKA, ASUBUHI UNAPATA BREAKFAST, MCHANA - SUPPER , JIONI -DINNER , KOMAA HUKO HUKO
hebu tuma dola 1000 kupitia moneygram nikakununulie nyumba yakufikia, ili ukija usipate tabu ya makazi.
Aisee mzee kwa umri huo sikushauri ukuje huku?Hujapata muke ya huko?Uko nchi gani maana kukushauri inategemea na nchio uliopo.Una watoto?Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Unachangamsha genge na $1,800 siyo? Acha utani. Tumia hiyo kununua tiketi halafu njoo ulime. Bado kuna mapori mengi tu.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
the old boy is kidding indeed, not serious at allYou must be kidding old boy.
Nakubali 100%. Kuanza maisha na 1800USD kwa umri wa miaka zaidi ya 50 is close to impossible kwa aina ya maisha aliyoitaja. Tena hiyo 7000USD ni ndogo.Utateseka mkuu...Hapo una chini ya Tshs milioni 5 yani utaishia kulipa kodi ya miezi sita na kununua vyombo vya ndani. Nakuhakikishia jipange walau uwe na walau USD elfu 7 uje uwekeze kimradi vinginevyo sikushauri urudi kwa kiwango hicho unaweza kukata tamaa ya maisha na unaweza hata kujidhuru
[emoji38] sijawahi kuona muomba msaada kiburi kama wewe eti chakula kizuri sio nafakaHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Umeongeza 0.Kwa miaka uliyokaa huko kwa mwezi ulikuwa una-save dola ngapi ndio mpk leo ziwe 18000. Bora ubaki tu hukohuko uendelee kupambana tu la sivyo utakuja kuokota machupa ya palstick huku