Ndomana ukawa na kiasi hicho myaka yote hiyo.mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
$1800 huku anashika teen kwenda kulipa ada ya shule ya mwaka mmoja tu.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Ati USD 1,800. Daah yaani wewe hata box hukuweza kubeba? Wenzio wakija tu kusoma huko na box wanabeba wakirudhi huku wako vizuri. So wewe toka 1992 ni miaka 26 mzee? Huku Bongo maisha ni magumu naomba tu usiwaze kabisa kurudi kwa umaskini huo uliokuwa nao. Hata ndugu zako watakukimbia kama wewe ulikuwa huwajali kwa miaka yote 26 uliyokula bata nje.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Wee ni ng'ombe kweli,, tulia huko hukoSikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Teh teh teh! Safi sana karibu tena Tz teh teh!mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Wewe utakuwa mchawi unaloga wenzako.
Njoo tuburudike na TbcHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Hujaserereka na kuteririka vizuri (Msemo wa Mwanazuoni GENTAMYCINE) Utueleze upo nchi gani na lini unataka kurudi. Tukupatie data za mzee JIWEHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Utateseka mkuu...Hapo una chini ya Tshs milioni 5 yani utaishia kulipa kodi ya miezi sita na kununua vyombo vya ndani. Nakuhakikishia jipange walau uwe na walau USD elfu 7 uje uwekeze kimradi vinginevyo sikushauri urudi kwa kiwango hicho unaweza kukata tamaa ya maisha na unaweza hata kujidhuru
mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
Malizia tu umri wako huko huko ndo kilichobakHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
mimi siogopi maisha nyie vyura, acheni hasira zenu na kunitisha na maisha.
Mwezi February mwaka kesho narudi bongo na pesa hii hii na nitaishi tu.
Na pia mademu wenu nitawagonga.
kwa hiyo nafaka hutaki hata kuxiskia?Hujaserereka na kuteririka vizuri (Msemo wa Mwanazuoni GENTAMYCINE) Utueleze upo nchi gani na lini unataka kurudi. Tukupatie data za mzee JIWE