Naombeni Msaada kunielewesha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni Msaada kunielewesha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mawazoyangu, Jan 20, 2011.

 1. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kuna jambo linanitatiza. je inakuwaje mwili wa binadamu akifa kwenye maji unaelea lakini kabla hajafa unazama?
  Nini kinafanya anaelea baada ya kufa?
  Je kinachofanya azame kinakuwa kimetoka anapokufa?
  Please nielezeni kwa undani juu ya jambo hili
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mimi si mtaalamu lakini najaribu kutumia simple logic, mtu akifa ndani ya maji si kwamba dakika atakayo kufa tu ndio anapanda juu, isipokuwa itaulazimu mwili huo kukaa masaa kadhaa zaid ya 12 ndio utapanda juu.
  Kwa mantiki hiyo ni kwamba ukifa mwili unaanza kuoza kwa seli kuanza kuharibika na kutengeneza kitu kama gasi kwa tumbo kujaa na mwili mzima, hii inafanya mwili kuwa na hewa ya gasi kwandani na kuufanya uwe kama boya, hivyo kuufanya uelee.
  Subiri wataalamu waje kudadafua.
   
 3. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Thanks, nimepata mwanga mzuri
   
 4. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mie nasubiri watu wa kukurupuka waanze kuchangia halafu nitakuja na jibu kamili. Haya karibuni
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  ina shawishi, lakini mimi bado sijakubali vizuri, labda niseme sio kwa binadamu tu ni kwa wanyama wote,
  unazungumzia habari za tumbo kujaa hewa lakini hata kama tumbo liko wazi, say kuliwa na samaki wa kubwa ama ndenge, bado huwa mwili unaelea tu
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu tumboni ndiko sehemu yenye uwazi mkubwa wa kutanuka na kujaa sana hiyo gasi iwe kwa ngombe ndege nk.
  kikubwa ni kuwa mwili mzima unaathirika na hiyo ila tumbo ni zaid sababu ya nafasi yake
   
 7. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  When humans die, they start decomposing immediately and this produces gases as by-products (eg, CO2 and NH3). Since gases are more buoyant than liquids, carcasses (mizoga ya wanyama) and cadaver (maiti za watu) float. Floating occurs when the gas is still inside the carcass or cadaver and its overall density is less than that of the liquid it is in (remember Archimedes Principle???)
   
 8. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Thanks a lot
   
Loading...