Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
Bachelor of tax management,bachelor of banking and finance na bachelor of computer science.....naomba mniambie ni course ipi nzur yakusoma based kwenye urahisi wa kupata kazi..
Ndugu kila course ni
nzuri, inategemeana na vitu vingi kwa mtu kusomea kitu fulani.
Kila mtu ukimuuliza kwa nini anasoma kozi fulani atakupa sababu nyingi
labda mojawapo ni atakwambia "inalipa sana"
Ushauri wangu ni kuwa soma kitu unachokipenda kutoka moyoni na sio kwa
kuangalia watu wanasemaje kwa maana hakuna kitu ambacho hakilipi, kwa
kuwa kama hakilipi watu wangeshaacha kukifanya.
Kama wewe ni mdau wa teknolojia, programming, Designing, mawasiliano,
etc Computer Science itakufaa.
Na kama unapenda sana mambo ya kibenki, fedha na uchumi basi hizo kozi
za tax na finance zinakufaa.
Angalia pia unapenda kazi gani, mfano, za ofisini, za viwandani,
personal, designing, kwenye benki.
Ukisema unapenda kufanya kazi za aina gani ni rahisi sana nikakushauri
usome nini, ila kila kazi inalipa na umahiri wako ndo utakuweka
mjini.
napenda kujibu ktkana na
thread yco.kwanza;kusoma coz kutokana na urahic wa kupata ajira
inategemeana na vipindi au miaka fulani ktk fani husika,eg miaka mitatu
iliyopita finance,accountng & bankng ilikuwa rahisi kupata ajra
kutokana na uchache wa watalaamu ktk fani hyo na ukuaji wa sector za
kibenk hapa nchini,na verse vesa kwa computer science
pili; kama upo kwa ajiri ya kuajrwa ni vema kutambua kozi ambazo nafasi
zake ni chache ktkana na mfumo wa sector husika.eg. Tax management bt
hii haijarsh sana coz w2 wanaangalia ww unajua nn??
tatu; ni ushauri:kumbuka ww ni wa kipekee na watofauti hapa duniani
hamna kama ww na hamna anaweza fanya kama ww,fanya k2 unachokipenda toka
ktk nafsi yako hii kwa kuangalia v2 unavyovipenda zaidi haita kusumbua
mbeleni! Kuwa ktk malengo yco haijalishi utapita ktk mapito gn?
nne;hamna anayeweza kuambia soma hiki na hiki usisome! Ni ww mwenyw
moyoni mwaka tyr analo jibu! Sisi 2nasaidia tu !.
Tano; tatizo kubwa duniani huwa ni kufanya maamuzi ( making choices) ur
future lyf depend on ur 2day choices & iki-apply A utapata A.
Bye