Anikajema
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 647
- 566
Habari za hapa wanajukwaa:
Wakuu naombeni msaada Simu yangu ni Nokia lumia 820 Window yake ipo 8:1
Tatzo hii simu ni facebook ndo siingii inakataa inaniambia Niongeze Version ..sasa nikitaka kui update inakataa naombeni msaada jinsi ya ku update either jinsi ya kuingia fb.