Jiulize swali kwanza wwe mwenywe unataka nini kabla hujaja kuomba ushauri umu coz as a matter of fact it seems hujui nn unataka wewe mwenywe. Kuomba ushauri sio jambo baya but watu watakushauri basing on what they want and not what u want unaeza kufata mawazo yao badae ukamaliza kusoma usione msaada ukaishia kujuta just chill mpk mwakani jichunguze am sure utafkia muaafaka wa nini unatakaWakuu habari zenu,
Kwa wale wataalam wa mambo naomba msada wenu hivi kati ya hizi postgraduate course ipi nzuri ya kusoma naplan nianze mastarz next year.
1. Msc in Finance & big data analytics
2.Msc in Financial modeling & optimization
Naombeni msaada na ushaur hapo nisome ipi?
Kama unauhakika wa ada unasoma tu,chukua fomu/download jaza ambatanisha vinavyostahili peleka sehemu husika kutokana na tarehe waliyoelekezaNisaidie nikitaka kuapply masters nafata process zipi.
kusoma sana ni uoga wa maisha
[emoji23][emoji23]Masters ina mshahara au kutusumbua tu huku mtaani?
Hiyo hela ya kusoma mkodishie mtu akurudshie tu kwa riba![emoji23][emoji23]
Katafute hela acha kupoteza mudaNisaidie nikitaka kuapply masters nafata process zipi.
Hiyo hela ya kusoma mkodishie mtu akurudshie tu kwa riba!
Tz unasoma unataka nini? Maisha ya Tz saiv ni koneksheni tuu
Huu ndy ushauri! Uzi ungetakiwa sasa ufutwe!Katafute hela acha kupoteza muda
Katafute hela acha kupoteza muda
Hiyo hela ya kusoma mkodishie mtu akurudshie tu kwa riba!
Tz unasoma unataka nini? Maisha ya Tz saiv ni koneksheni tuu
Tafuta hela bwana Shampeni, acha kuuza muda!Connection zipo nyingi tu
Katafute hela, ishu za kusoma acha!Campan ndo imeamua hvo
Katafute hela, ishu za kusoma acha!
Kusoma Tanzania kunakusaidia nini?
Tafuta hela bwana Shampeni, acha kuuza muda!
Mkuu unataka nikatae baht hyo ya kwenda uk?
Kaka tafuta hela ilipo acha kupoteza muda kukaa darasani!Master mwaka1 over nimepoteza nn hapo?
Kaka tafuta hela ilipo acha kupoteza muda kukaa darasani!
Tafuta Hela.