Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Nisaidie nikitaka kuapply masters nafata process zipi.Wakuu habari zenu,
Kwa wale wataalam wa mambo naomba msada wenu hivi kati ya hizi postgraduate course ipi nzuri ya kusoma naplan nianze mastarz next year.
1. Msc in Finance & big data analytics
2.Msc in Financial modeling & optimization
Naombeni msaada na ushaur hapo nisome ipi?
Mkuu kwann usiridhike tuu? Au kuna kitu unataka kugundua kwa tz hii
Mkuu naona unataka ufike level ya pala kabudi magamba
Nisaidie nikitaka kuapply masters nafata process zipi.
Umesoma kozi gani undergraduate?
one last QStats & eco
one last Q
unafanya kazi gani kwa sasa/au unataka kufanya nini baadae ili tujue kozi gani itakufaa
njeTz au nje[emoji23]
kozi ya kwanza itakufaa zaidi mkuuBusiness analyst.
kozi ya kwanza itakufaa zaidi mkuu
Hapo soma tu mambo ya uchumi yatakufaa zaidiShida nn mkuu, toa ushaur bhs