Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Ndani ya lile jengo lenye ofisi za Baraza la michezo taifa? nadhani floor ya Juu kabisaNenda posta mpya, kuna jengo la IPS ghorofa la 3 kamuone mtaalamu wa mambo ya simu na tablet, laptop n.k anaitwa fundi beka. Lazima itawaka tu trust me,
N.B - hawataki vifaa feki wanatengeneza vifaa orijino tu.
simu ikiingia maji inatakiwa uipeleke kwa fundi mapema jinsi inavyokaa na maji ama ukungu ita short haitapona tenaHabarini za asubuhi wapendwa, kwa atakayeguswa naomba anijuze kama ana technique yoyote.
Kwa ufupi simu yangu (tecno tablet imeingia maji) inawaka na kuzima inaniumiza kichwa coz bado mpya na nimejikusanya kwa muda mrefu nikaweza kununua ili angalau na mimi niende na wakati, yeyote anajua cha kufanya simu inapoingia maji ili angalau irudi katika hali yake ya kawaida japo sio 100% naomba anipe maujanja, kila nikiwasha inawaka na kuzima,
msaada wandugu
Ndio mkuu,Ndani ya lile jengo lenye ofisi za Baraza la michezo taifa? nadhani floor ya Juu kabisa