Naombeni msaada jinsi ya kutumia Utorrent

pottasium

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
91
Reaction score
5
Nashndwa kudowlod vitu kwa kutumia Utorrent hivi mnafanyaje naombeni msaada
 
nenda hapa "the pirate bay.se" alafu search kitu chako then press download,itaipeleka kwenye u torrent yako uliyo install
 
Ninatumia bitcomet na utorrent kudownload series, movies na applications lakini hizi applications ninazotumia kudownload zinachagua vitu vya kudownload, ninaweza kucomand kitu kikagoma kingine kikakubali.

Mfano series inaweza kubali kudownload episode 3 lakini episode 1 na 2 zikagoma.

Naomba mwenye kujua nifanyaje anielekeze please.
 
ninatumia bitcomet na utorrent kudownload series, movies na applications lakini hizi applications ninazotumia kudownload zinachagua vitu vya kudownload, ninaweza kucomand kitu kikagoma kingine kikakubali, mfano series inaweza kubali kudownload episode 3 lakini episode 1 na 2 zikagoma. Naomba mwenye kujua nifanyaje anielekeze please.

Hizo bitcoment na utorrent hata kwenye simu naweza tumia?
 
ninatumia bitcomet na utorrent kudownload series, movies na applications lakini hizi applications ninazotumia kudownload zinachagua vitu vya kudownload, ninaweza kucomand kitu kikagoma kingine kikakubali, mfano series inaweza kubali kudownload episode 3 lakini episode 1 na 2 zikagoma. Naomba mwenye kujua nifanyaje anielekeze please.

daaaah nimelielewa swali lako kwa mbali kidg, cjaelewa zinagoma kvp? yaaan zinakubali kuadd kwny utorrent bt hazidownload? kama ni hvyo bas itakuwa tatzo ni number of seedes coz hizo torrents zinatumia seeds means seeds wakiwa wengi bas itadownload kwa speed kubwa kuliko ikiwa na seeds wachache... so unavyochagua torrent ya kushusha angalia idaddi ya seeds....
option nyingne unaweza badili hizo torrents magnet link to direct link na ukatumia idm kudownload ambayo ipo fast zaid na hii haitategemea seeds.
 
Asante sana Chris41 nikajaribu kutumia idm nikishaidownload.
 
Wakuu mimi ni mgeni kidogo wa matumizi ya hii kitu,

Sasa Jana nimejaribu kudownload kitabu na album mbili za muziki nilivyoanza tu process za judownload ikaniambia kwanza ni Install torrents downloader nika Install halafu kwa kutumia hiyo downloader nikaanza kudownload kitabu chenye 1.4mb cha ajabu zaidi ya saa nzima ilikuwa haijamaliza kudownload.

Nikaamua kudownload na album mbili za muziki nikaiacha laptop kwa zaid ya masaa 3 nilivyorudi nikakuta ishamaliza kudownload Ila cha ajabu nilivyojaribu kufungua kitabu kilikataa kufunguka na zile album zinaaplay nyimbo nne tu kati ya nyimbo arobain je tatizo ni nn? Km kuna option naomben msaada
 
daaaah nimelielewa swali lako kwa mbali kidg, cjaelewa zinagoma kvp? yaaan zinakubali kuadd kwny utorrent bt hazidownload? kama ni hvyo bas itakuwa tatzo ni number of seedes coz hizo torrents zinatumia seeds means seeds wakiwa wengi bas itadownload kwa speed kubwa kuliko ikiwa na seeds wachache... so unavyochagua torrent ya kushusha angalia idaddi ya seeds....
option nyingne unaweza badili hizo torrents magnet link to direct link na ukatumia idm kudownload ambayo ipo fast zaid na hii haitategemea seeds.
Mkuu naomba msaada jinsi ya kibadili hizo magnetic link to direct link
 
wakuu nina changamoto kila nikitaka kupakua program kwenye utorrent naleletewa ujumbe wa kufungua free acount na nikijaribu kufungua haileti hio version ya kufungua acount
msaada
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    73 KB · Views: 81

Similar Discussions

Back
Top Bottom