Naombeni msaada jinsi ya kuflash simu

Naombeni msaada jinsi ya kuflash simu

frank shayo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Niko kwenye daladala naelekea posta, mimi nimekaa ila kuna dada pembeni yangu huku akiwa amebeba begi wengine huita kipimajoto basi begi la huyu dada kalitundika begani ila kitako cha begi kaliegemeza juu ya bega langu kila nikijaribu kusogea nilikwepe ndo kwanza na yeye anasogea. Begi lenyewe zito utadhani kabeba mawe nadhani hata yeye alikuwa amechoka kulibeba ndo maana alikuwa anatafuta unafuu kwa kuliweka juu ya bega langu so nikawa najiuliza kabeba nini maana anaonekana anaelekea ofisini, je kuna ulazima wa kubeba hiyo mipochi yenu kama wenyewe inawaumiza?? Hapa nilipo nimechoka je nimwakie huyu dada maana uvumilivu wangu umefika mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom