chardams JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 2,450 Reaction score 1,753 May 19, 2014 #1 Kesho naenda kwenye dengue zone; tafadhali naomba mnisaidie kinga maana taarifa ya habari huwa sisikilizi. Maisha ni matamu. Anagalizo; Sitaki maswali ya kwa nini sisikilizi au kuangalia taarifa ya habari pamoja na kusoma magazeti.
Kesho naenda kwenye dengue zone; tafadhali naomba mnisaidie kinga maana taarifa ya habari huwa sisikilizi. Maisha ni matamu. Anagalizo; Sitaki maswali ya kwa nini sisikilizi au kuangalia taarifa ya habari pamoja na kusoma magazeti.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 May 19, 2014 #2 safari njema. Nalog off
chardams JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 2,450 Reaction score 1,753 May 19, 2014 Thread starter #3 Washawasha said: safari njema. Nalog off Click to expand... Thank you, ila niombee nisipate hiyo kitu.
Washawasha said: safari njema. Nalog off Click to expand... Thank you, ila niombee nisipate hiyo kitu.