Kuwa mtu wa mazoezi. Nadhani ndo best solution. Chakata mbususu kama huna akili nzuri...wanaokucheka pita na wapenzi wao...JiaminiNaombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.
Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.
Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.
Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.
Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
Punguza kula kula ovyo kwanza.....unakaa ndani unashindwa hata kwenda kukimbia hips zitachomoka hzo hadi ushangaeNaombeni msaada jamani kama kuna yeyote anaweza kujua dawa ya matatizo haya anisaidie.
Mimi ni mwanaume lakini nimekuwa na tatizo la kukuwa kwa makalio yangu, nimekuwa na shape kama mtoto wa kike.
Mimi siyo shoga lakini kwasababu ya matatizo yangu haya kuna watu tayari wameanza kunihisi vibaya na wengine kunitamani kabisa kama mtoto wakike, mpaka kwasasa najisikia aibu ya kutembea mtaani kwetu, nakaa ndani usiku na mchana.
Ningelikuwa na uwezo ningelikwenda uko Uturuki kupasuliwa lakini maisha yangu ni bandika bandua tu.
Kama kuna yeyote anajua dawa naomba anisaidie jamani.
Una dhambi weweKwa bandiko hili Watajazana PM kuomba kisamvu
Sasa mkuu, unadhani watu wote tunafanana roho............matatizo ya mwingine ndo fursa ya mwingineUna dhambi wewe
karanga hazina shida ww wakati ndo zinaongeza spermspunguza matuzi ya peanut.