Don chul Lingula
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 363
- 277
Zima pc yako na uiwaashe tena au ui restart pc ila ukiizima na kuiiwasha tena itakuwa poa zaid.Nilikuwa nimechomeka external kwenye PC nikawa namuwekea movie baada ya kumaliza nilitoa external niliporudishia ikawa inagoma inaandika Hvi LOCATION is not available Drive is not accessible The file or directory is corrupted and unreadable nifanyeje naombeni mwenye uelewa anisaidie
Nimerestart mkuu Lakini imegomaZima pc yako na uiwaashe tena au ui restart pc ila ukiizima na kuiiwasha tena itakuwa poa zaid.
Ikisha waka, chomeka tena external yako
Hii ni window 8 mkuuPlug in your external disk. Go to command prompt (cmd) run chkdsk . This link should help How to Scan & Fix Hard Drives with CHKDSK in Windows 10
Mkuu imeniandikia you have to invoke this utility running in elevated mode nafanyaje sasaThe procedure works on all windows. I've used it on windows 7
Do as it appears in this picture. But instead of C, enter EImegoma bhana mkuu kama uko karibu na PC niandikie kwangu local disk E ndio external naanza hvi C:users Magreth )
Ngoja nijaribu tena mkuu then nitakupa mrejesho keshoAndika chkdsk{space}E:/f/r/x kwa space weka space usiandike "space" na usiweke brakets
Fine just input chkdsk E:/f/r/x infront of whatever will appear when you run command prompt. You'll be okNgoja nijaribu tena mkuu then nitakupa mrejesho kesho
Halafu mkuu kumbuka kwenye file system yangu inasoma RAW na siyo NTFSFine just input chkdsk E:/f/r/x infront of whatever will appear when you run command prompt. You'll be ok
Sikuelewi. command prompt ndio inakuandikia "raw" ama wajuaje ni raw?Halafu mkuu kumbuka kwenye file system yangu inasoma RAW na siyo NTFS
Command prompt ndio inaleta hvoSikuelewi. command prompt ndio inakuandikia "raw" ama wajuaje ni raw?
Sawa wacha command prompt irun hadi imalize. Then try to access the disk. If you still cannot access it. Niambie nikuonyeshe njia ingineCommand prompt ndio inaleta hvo
Mkuu vp embu niambie njia nyingineSawa wacha command prompt irun hadi imalize. Then try to access the disk. If you still cannot access it. Niambie nikuonyeshe njia ingine
OK it looks like your disk is severely damaged thats why its Showing "RAW". If you want to recover the data in it utatumia software liitwawalo "Disk Part Converter" Download it here: [Solved] Diskpart convert RAW to NTFS, fix RAW partition, format RAW to NTFS/FAT32 . Carefully read instructions and follow the steps. FIRST USE; "Data Recovery "Feature then use " Fix Raw to NTFS" feature . Remember RECOVERY FIRST. or you will lose al your dataMkuu vp embu niambie njia nyingine