Mbuzimtu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 355
- 178
Ndugu zangu, naumia sana na swala la Escrow kwa kuwa limenipa maswali mengi ya msingi ambayo nashindwa kulala na sijui nifanyeje?. Naomba mwenye majibu ya maswali hapo chini anisaidie haraka sana.
1. Kama pesa za Escrow si mali ya umma, kwa nini watumishi wa umma wawajibishwe kwa kupewa pesa na rafiki yao?.
2. Ni kweli kuwa orodha ya watu waliopoke pesa za Escrow kupitia Stanibic benki hawa julikani?.
3. Ni kweli kwamba benki ya stanibic imegoma kutoa majina ya wanufaika wa Escrow?.
4. Kitendo cha bunge na vyombo vyake kushindwa kuweka full scandal, yaani wanufaika kupitia Mkombozi benk + Stanibic benk, bunge halioni kuwa limefanya kazi ya hovyo na inayotia mashaka mengi juu ya utendaji wake wa kazi?
5. Kuna chombo chochote cha kibishara kilicho juu ya Serikali ya nchi?, kama hakipo, Stanibic wamepata wapi nguvu na misuli ya kugoma kutoa list ya wanyonyaji wa taifa hili?.
6. Je, wananchi tunasababu ya kuendelea kuwaamini wabunge wanaoshindwa kuisimamia na kuishauli serikali kwa ukamilifu?.
7. Kwa nini tuache maswali mengi kuhusu wanaufaika wa Escrow kupitia stanic?.
NITAFURAHI SIKU NIKIONA FULL LIST YA WANUFAIKA WA ESCROW KUPITIA STANIBIC BENK
inafanyaje biashara yake nchini kiasi kwamba hata Serikali na vyombo vyake vinaamliwa na benk hiyohaiwezi kui