IT haiitaji pure math ,bam yake inamtoshaHapana mkuu labda uanzie diploma ila COURSE ZOOTE HIZO zinahitaji PURE MATHEMATICS na CBG una BAM
Sidhani mkuu pia hana physicsIT haiitaji pure math ,bam yake inamtosha
Omba ifm itKwa njia gani na kwa chuo gani?
Ndo nakuambia sasa ,anasoma bila tabuSidhani mkuu pia hana physics
Haya mkuu labda sipo updatedNdo nakuambia sasa ,anasoma bila tabu