Naombeni msaada bitrovery keys

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,175
Reaction score
11,572
Nilitaka ku recover pc yangu baada ya kuanza tabia ya kustuck, nimefika step inahitaji bitlocker keys ambazo sina, naomba msaada hapo nafanyaje kwani nashindwa kurudi kwenye window Kama kawaida.

Nikiizima na kuwasha inarudi hapo hapo Kama inavyoonyesha kwenye attachment picha hapo chini.

Vyovyote utakavyofanya kwa options zote hapo itakurudisha uweke keys.

Nimeenda kwenye macrosoft account yangu hakuna hizo keys.

Plse naomba msaada wa wenye ujuzi zaidi.

 
IPO kwenye MS account yako mkuu, login kwenye other device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…