Ahsante sana kwa ushauri,kusema kweli nimekuwa nikutumia zaidi simu za tecno ila sasa hivi natumia samsung,tatizo hii simu ina hiyo android moja ambayo inagoma kudispaly informations,upande wa youtube inafanya kazi vizuri,nashindwa kupata apps za instagram,whatsapp na zinginezo