naombeni mnitoe matongotongo kuhusu hili

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,089
2,198
kila siku ninapotizama taarifa ya habari ITV. Katika habari za biashara na uchumi huwa naona wanaongelea kuhusu TAARIFA YA MIFUKO YA UTT AMIS. wana jf, naombeni mnieleweshe
1. mifuko ya UTT AMIS ni nini?
2. ina umuhimu gani kwa watanzania?

karibuni kwa michango yenu wadau
 
Back
Top Bottom