am a lady, naombeni mnisaidie nimetokea madoa doa miguuni na mba za ngozi juu ya titi,naombeni sana msaada yaani sina raha, kila nachotumia hola, naamini ntapata ushauri wa kitaalam zaidi, asanteniiii
Unajua kuna mwagiko kubwa sana la watoto wa facebook kuja humu we chunguza mada za siku hizi ni mambo ya demu,mara punyeto,mara boyfriend wangu karudi likizo tujaonana tangia form one mpaka leo tupo form two sijamuona nishaurini nibwage au nisepe nae?,mara sasa waandike xaxa yaani tuna kazi humu tumeanza kuogopa kuanika mambo nyeti yetu maana watoto watachungulia.