nadhani wote hamjambo. nduguni zangu na madada zangu, nawaombeni mnisaidie.
siku nyingi sana nimewaza nifungue website inayohusu kutafuta kazi hapa tanzania n.k tatizo langu sijui kisheria inasemaje ukifanya hivyo, na je kuna TAX za kulipia na endapo nikipata matangazo za kuweza kwenye site, je inatakiwa nizilipie TAX.
nawaomeni kwa msaada wenu,
ahsanteni
subz3r0