Naombeni mnisaidie nami nipate kazi

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Habari zenu wana JF

Mimi sio mgeni kwenye JF ni mwenyeji hadi nafikia hatua yakuomba tena msaada ni kwamba sijapata msaada hadi sasa, niliomba wana JF mnisaidie kazi lakin wengi walini haidi kwa kunipigia simu lakin kwa sasa hazipatikani namba zao

Wana JF hakuna mtu anaependa kukaabila kazi na hakuna asiependa kufanya kazi ndio mana naomba kazi kwa mara nyingine tena. Naitwa Frank naishi Chanika Dar es salaam, nina miaka 24 nimemaliza kidato cha Nne mwaka 2015 sina rafiki wara ndugu ambaye ninamtegemea nimeomba msaa kwa ndugu zangu lakin hakuna msaada wowote zaidi wanasema ( pambana na hali yako) najuwa kuna maisha badae hata kama nitapambana lakin sitoweza sina msada wowote.

Baba yangu alifariki Mama akapata baba mlezi nao sasa wametengana hakuna hela ya matumizi anayo toa baba had imefika hatua tunalala nyaa jamani wana JF naombeni kazi nisaidie family yetu mama na mdogo wangu wa naniangalia Mimi, nitafanya kazi kwa moyo wangu WOTE hatakama upo nje ya Dar es salaam ukinitumia nauli nitakuja, kazi nilio kuwa naipenda tangu shule ya msingi ni kazi ya hotel lakin sijasomea mpaka sasa ndio mana naomba KAZI yoyote nitafanya.

NAMBA ZANGU 0677423349 NITASHUKURU KWA MSAADA WENU ASANTENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana , muombe sana Mungu, Mungu ni wetu sote atakusaidia
 
Mkuu, ili upate kazi kupitia hapa JF, lazima ujitoe akili, lazima ujitoe fahamu.
...nasema hayo nikiwa na uzoefu!
 
Back
Top Bottom