Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 7,926
- 15,672
Umemaliza kupiga pasi tu nguo za shemej ( mume wa dadaako) umefungua uzi
kwann asioe mchaga? kijana emu ruka rombo kwa shirima ukachukue mke achana na hearsayKama hauna sababu za msingi usioe mgogo wala mchaga
Hujawahi vagaa mgogo utupe kamwongozo lo,,??