vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,497
Nimeona tangazo kwenye group flani la watsapp la fani tuliyosomea.
kuna jamaa alikua anatangaza kua anaunga bando la GB 6 kwa week halotel na unamlipa baada ya kuungwa.
sasa bwana nikamtumia namba yangu akaniambia kuna code zitakuja kwenye simu yako uzitume chap kwangu nikuunge.
Code zenyewe zilizokuja ndo zikanifanya nishtuke au jamaa anataka kunitapeli.
wataalam wa mambo naomba mnijuze hii namba yangu ya OTP niliyotumiwa je, anaweza akaitumia ku hack lsimcard yangu?
au anaweza hata kuingia halopesa yangu?
nijuzeni kabla sijqmtumia bas wadau