Naombeni mnielekeze nahisi wanataka kunitapeli

Naombeni mnielekeze nahisi wanataka kunitapeli

Nimeona tangazo kwenye group flani la watsapp la fani tuliyosomea.

kuna jamaa alikua anatangaza kua anaunga bando la GB 6 kwa week halotel na unamlipa baada ya kuungwa.

sasa bwana nikamtumia namba yangu akaniambia kuna code zitakuja kwenye simu yako uzitume chap kwangu nikuunge.

Code zenyewe zilizokuja ndo zikanifanya nishtuke au jamaa anataka kunitapeli.

View attachment 1996780


wataalam wa mambo naomba mnijuze hii namba yangu ya OTP niliyotumiwa je, anaweza akaitumia ku hack lsimcard yangu?

au anaweza hata kuingia halopesa yangu?

nijuzeni kabla sijqmtumia bas wadau
Kama hiyo message imeingia wewe ukiwa umekaa tu... Yaani imekuja bila wewe kufanya chochote kwenye simu yako mtumie...

Ila kinyume cha hapo kausha....
 
Si kweli hio otp hawezi kukutapeli mkuu hapo ana kifurushi ukishamtumia hio namba anaiweka tayari unakua umeshaungwa haihusiani na halopesa.
 
Si kweli hio otp hawezi kukutapeli mkuu hapo ana kifurushi ukishamtumia hio namba anaiweka tayari unakua umeshaungwa haihusiani na halopesa.
Waoga wengi sana humu....v
 
Kunawengine wanasema wanaunga vifurushi vya mwezi au miez kadhaa mpka mwaka, nliwauliza Nan ana access ya kuniunga?? Hyo mtu akanijuib mtu wa mtandao husika, Bei zao si haba, ila nilista tu kukubali nikajua naweza kupigwa,

Nlimwambia aniunge kabla ya kulipia akagoma nikaacha,
Hivi vifurishi vipo for real.....

Ukiwa hujawahi kutumia utabisha mpaka kesho....
 
Thibitisha mkuu ili nichangamkie fursa,
Nimeshatumia vifurushi vya mtindo huo mara kadhaa na siku si nyingi nitajiunga kimoja hivi kwa jamaa yangu anaunga vya voda....


Nineshaunga kwa watu nisiowajua na ninaowajua....


Sijawahi tapeliwa....

So mtu akiongeaga hivi huwa simbishii....

Japo najua matapeli pia wapo...
 
Namim nitajaribu kwenye laini yangu ambayo siiwekagi pesa ata kidogo
 
Hiy ishu mbona ina uzi wake humu ni hivi hiyo namba inahusika na mambo ya app ya halopesa
Inamana ukidanilodau kupakua app ya halopesa kwa simu yako ukiingia kwenye hiyo app utajaza namb ya simu ukishajaza utatumiwa hizo otp kwaajili ya kudhibitisha toka hapo utaingiza namba ya sir ya halopesa ukisha fanya hivyo ndipo utapewa kifurushi kama gb2 hv kwa wiki ila kwa ww mtoa mada baada ya kufanya ww jamaa ameona iwe kama fursa hakuna utapeli hapo ni ujanja wa maarifa
 
Back
Top Bottom