Umenikumbusha story moja hivi ya jamaa mmoja aliyeswekwa rumande na dem wake kituo cha urafiki dsm kwa kosa la kumtishia kisu kwa sababu tu mpenzi wake alimkataa! Basi jamaa alilala selo kwa siku 3, mpenziwe alipokuja kwa wito wa polisi ili amdhamini, binti kakataa kata kata!!
sometimes i say, let it go, vinginevyo kwa mapenzi ya sasa yanayoangalia noti, utaishia kubaya sana!
Ntarudi kukushauri.
Mkuu wida mm hata sijaelewa labda waje walioelewa... Nahsi kama ulikula wida wakat unapost
Could you please start again. Cjakuelewa, ama ni mimi nna usingizi bado?
Hii stori imenifanya nijihisi nina IQ ndogo sana.
Maana sijaielewa kabisa.
Naomba urudie hiyo kuiedit hiyo habari taratibu tukuelewe.
unamanisha
Baada ya kuisoma nikadhani ni mimi tu ndio sijaelewa......
Baada ya kuisoma nikadhani ni mimi tu ndio sijaelewa......
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.
Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!