Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Nimecheka sana aiseee, uko wapi uje tupate NOAH??/ Asante sana
ankal noah ni kinywaji au?
Nimecheka sana aiseee, uko wapi uje tupate NOAH??/ Asante sana
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.
Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!
Yaani niko ndani ya gari nimecheka hadi abiria woote wamenishangaa!
Ni nyama moja tamu balaaaaaa, ni tamu kiasi kwamba hua inaleta ugomviankal noah ni kinywaji au?
ha ha ha mweh....Ni nyama moja tamu balaaaaaa, ni tamu kiasi kwamba hua inaleta ugomvi
Nimecheka hadi basi!
Tehe, mwingine nae: '...Story ina Shem nyingi...'
Siku hizi marafiki wanasingiziwa sana, mi mwenyewe rafiki angu boifrendi ake anamsumbua naomba ushauri nifanyeje ooh sorry afanyeje!!!!
Shem inaonekana umemuelewa huyu jamaa, hembu nisaidie na mimi duuh!
Siku hizi marafiki wanasingiziwa sana, mi mwenyewe rafiki angu boifrendi ake anamsumbua naomba ushauri nifanyeje ooh sorry afanyeje!!!!
aaah rafiki yake hapana mi sili naona ni kibudu hichoubaya ni kwamba ukitongozwa au kutegwa na rafiki wa mpenzi wako kuchomoka ngumu sana sijui kwa nini
ankal noah ni kinywaji au?
Siku hizi marafiki wanasingiziwa sana, mi mwenyewe rafiki angu boifrendi ake anamsumbua naomba ushauri nifanyeje ooh sorry afanyeje!!!!
nmeambiwa ni nyama, bila shaka ni nyama ya mkia hiiLabda huko, huku noah ni chakula!
Yule rafiki angu ambae shemeji ake ni mtoto wa mama angu mkubwa.vipi unamzumzia yule rafiki yako, ambaye shemeji yake kasema ile SMS alokosea kupokea Jana, ilipotea njia?.