Naombeni mchango wa mawazo

Naombeni mchango wa mawazo

Wewe najua utaelewa sasa hivi.......uniadisie ukiwa tayari........
Halafu mwambie huyu jamaa........issue za rafiki yake zinamuhusu nini kama si umbea.........afuate yake aachane na mambo ya watu.........
Siku hizi marafiki wanasingiziwa sana, mi mwenyewe rafiki angu boifrendi ake anamsumbua naomba ushauri nifanyeje ooh sorry afanyeje!!!!
 
Kuna friend wangu
ambaye yupo kimahusiano na shemu wangu, wamedumu kwa mda mrefu ila ndoto
yao mwaka ujao ilikuwa rasmi wafunge ndoa,tatizo nikwamba rafiki yangu
alihisi kuwa mpenzi wake ana msaliti, akaenda kwa jamaa hakuongea kitu
alimpigia simu shemu wangu (mpenzi wangu kwa nini haukuniambia sikuzote
kuwa una mtu.

Jibu:usichokijua wewe ni nini,ukweli ndo huo

Rafiki yangu akapatwa na pigo sana na hasira zilimjaa,akaenda kwa mzazi
wa binti ila alishindwa kuongea
Binti:alimkana mbele ya mama yake.

Kama mnavyo fahamu uchungu unavyokuwa akajikuta amempigia baba yake na
kumueleza
basi siku zimepita.

Shemeji akamsamehe siku ya jana, ukweli ni hivi yule jamaa ni shemeji
yake ambaye wameoa dada yake kwa mama mkubwa.

Anaomba ushauri afanyaje na shemu wangu amesha msamehe ila ame divert
bado anahasira.
Nahitaji mawazo yenu atumie njia gani, Ili wawe kama awali kwani
anampenda sana.

sijui mm ndo sijaelewa? ebu tusubir ma geneous waje apa wafafanue
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

ahaaaaaaaaaaaaa mbavu zangu
 
aachane nae tu huyo co mwaminifu atakutenda ukiwa ndani ya ndoa mungu amesha kuonyesha mapema hakuna haja japo mapenzi yanauma jikaze kuwa na maamuzi magumu some time kunasaidia
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

Yaani niko ndani ya gari nimecheka hadi abiria woote wamenishangaa!
 
Aiseee ukiona wengi hawajaelewa ujue haujaeleweka hebu iweke vizuri story yako,yaan shem nyingi kiasi kwamba sijaelewa kabisa shemu ypi alimsamehe nani na shem yupi alimkataa rafiki yako mpaka kwa mama yake
 
ungejifanya wewe ndo jamaa tungekuelewa... edit story nzima maana ngumu kuielewa
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

Da, afadhali nimecheka, nina muda mrefu.
^^
 
Dah, utadhani ni swali la maths enzi hizo;
2) b. Jonh has two shilings, jane has seven mangoes, calculate the mass of the sun.

Unamwambia mwalimu kama hizo maksi umeona issue zichukue basi!

Kwa kweli nimecheka sana............
 
Back
Top Bottom