wida
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 247
- 40
Kuna friend wangu ambaye yupo kimahusiano na shemu wangu, wamedumu kwa mda mrefu ila ndoto yao mwaka ujao ilikuwa rasmi wafunge ndoa,tatizo nikwamba rafiki yangu alihisi kuwa mpenzi wake ana msaliti, akaenda kwa jamaa hakuongea kitu alimpigia simu shemu wangu (mpenzi wangu kwa nini haukuniambia sikuzote kuwa una mtu.
Jibu:usichokijua wewe ni nini,ukweli ndo huo
Rafiki yangu akapatwa na pigo sana na hasira zilimjaa,akaenda kwa mzazi wa binti ila alishindwa kuongea
Binti:alimkana mbele ya mama yake.
Kama mnavyo fahamu uchungu unavyokuwa akajikuta amempigia baba yake na kumueleza
basi siku zimepita.
Shemeji akamsamehe siku ya jana, ukweli ni hivi yule jamaa ni shemeji yake ambaye wameoa dada yake kwa mama mkubwa.
Anaomba ushauri afanyaje na shemu wangu amesha msamehe ila ame divert bado anahasira.
Nahitaji mawazo yenu atumie njia gani, Ili wawe kama awali kwani anampenda sana.