BABA BOMBASTIC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 349
- 570
Habari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya mpinzani wangu,maana tupo kwenye vita hii dunia ni uwanja wa vita hata mwenyezi mungu alisema tujipambanie..
Naombeni mbinu wakuu