Naombeni mbinu za kumhonga huyu dada

Naombeni mbinu za kumhonga huyu dada

Mmh unayo pesa ya kumuhonga kweli? Au buku 10 ndo unamaanisha?

Anyway nawaza tu, ila kama pesa unayo.mpesa ndo jibu
 
Wanaume halisi kwa hiki kizazi kinaelekea kuisha, kutafuta hela hamjui asubuhi asubuhi unawaza mkunyenga mbaya zaidi hata kutongoza unataka kusaidiwa kudadekiiiiiiiiiiiiiii, utangoja sana kufikia malengo
 
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri tafadhali
Mpe hati ya nyumba na kadi ya gari vogue venye jina lake. Mwambie unakula game halafu anavichukua.
 
Wewe mpaka kuhonga unaomba ushauri we tuma mahela tu tena tuma mengi mkuu
 
haya mambo ya aibu sana......but nadhani wewe ni mvulana
 
Back
Top Bottom