maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,122
- 4,857
- Thread starter
-
- #21
huyo ni wewe na mimi ni Mimi tumetofautiana feelingsHapo ndo nakataa kukubali kabisa unampendaje mtu hata hujawahi kuongea nae, kupiga nae stor kujua jinsi anavyoongea
Mimi mpaka namtongoza mwanamke nakuwa sijampenda ila nimeona taswira yake tunaeza endana tukiingia ktk mahusiano ndipo moyo wa kumpenda unapojitokeza nikinaswa kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
got you kanchibay ngoja nijaribu na nimpambanie minotiNiku dokezee kitu kijana mwenzangu
"mwanamke ili awe na mapenzi ya dhati kwako sharti akupende mwenyewe, au uwe na pesa za kutosha"
Tofauti na hapo utakua unatwanga maji, au kuichora namba 8 kwenye dimbwi la maji'
But keep on disturbing her, maana hawa viumbe wanapenda kusumbuliwa sana ukionesha userious katika hilo kwanza wanajikuta wanapata huruma flani hivii ya kike kike na kuanza kukulegezea kamba,
'Ila pia don't entertain show off to her'
Ni hayotu mkuu[emoji523][emoji524]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unapewa mbinu unaleta ujuaji. Ndio maana unarudishwa na vizawadi vyako.Ushauri WA kidomo nzege bila Shaka wewe ni domo nzege
narudia tena mapenzi ya kweli hayahusishi pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu si hizo umeenda nazo amekutimua na vizawadi zawadi vyako. Sasa unapewa mbinu utume miamala unaleta ujuaji.
Hapa sasa ndio unaanza kuelewa sasa
Vizuri basi kwa kinielewa, ila we kazatu utampata,
Point to note mkuu:
😳😳
kumbe bado hujajua penzi linavokuaHapo ndo nakataa kukubali kabisa unampendaje mtu hata hujawahi kuongea nae, kupiga nae stor kujua jinsi anavyoongea
Mimi mpaka namtongoza mwanamke nakuwa sijampenda ila nimeona taswira yake tunaeza endana tukiingia ktk mahusiano ndipo moyo wa kumpenda unapojitokeza nikinaswa kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la kwanza ulofanya kumtumia zawadi hapo umejenga njia ya mahusiano ya kitu na sio hisia.
Kabla hujatongoza jaribu kujenga nae urafiki usiwe na wivu nae na usimuweke akilini sana. Msalimie kila ukimuona mfano:- Maria hujambo umependeza. Halafu wewe tembea usisubiri jibu lake fanya hivyo kwa wiki 1. Halafu wiki ya pili msimamishe mwambie Maria kuna kitu nataka kukuuliza chukua namba yangu hii ukipata nafasi nipigie. Andika hio namba kwenye karatasi akipokea tu tembea usiongee zaidi.
Akija kukupigia muulize nani mwenzangu atasema Maria muulize maria yupi( hapa usiogope ukadhani atakuona player) atakwambia yule wa kariakoo. Hapo utajifanya ushamjua halafu mwambie nitakupigia in 20 minutes, kata simu baada ya 15 au 18 minutes mpigie usiongee nae sana. Msalimie halafu mwambie sauti yako upo tofauti na uzuri wako. Akikuuliza kwanini jifanye umeitwa na mzee halafu mwambie utampigia baadae. Usimpigie mpaka uonane nae siku ya pili uso kwa uso
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Si lazima kila unacho kipenda ukipate kwakua mapenzi mbali na ushawishi ni tendo la iman na moyo kulidhika inawezekana umependa mahali ambapo napo pamependa sehemu nyingine............yamungu ni mengi piga maombi utapata wa kuendana naeWakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa
Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano
Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa
Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana
Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuuNiku dokezee kitu kijana mwenzangu
"mwanamke ili awe na mapenzi ya dhati kwako sharti akupende mwenyewe, au uwe na pesa za kutosha"
Tofauti na hapo utakua unatwanga maji, au kuichora namba 8 kwenye dimbwi la maji'
But keep on disturbing her, maana hawa viumbe wanapenda kusumbuliwa sana ukionesha userious katika hilo kwanza wanajikuta wanapata huruma flani hivii ya kike kike na kuanza kukulegezea kamba,
'Ila pia don't entertain show off to her'
Ni hayotu mkuu[emoji523][emoji524]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ni binti wa kihehe apo mtaani kwenu mbwa wapo ? Chinja mmoja kisha most fresh weka na supu imoto mpe mtoto promiss hachomoki nakwambia akichomoka uhehe kadandia uyoWakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa